Habari Wadau,
Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu kukojoa hovyo ndani ya stendi huku walinzi na migambo wa jiji wakifukuzana na wamachinga tu lakini...