Leo asubuhi nimepishana na mabasi mengi sana ya mikoa ya Kusini pamoja na basi ndogo za Mkuranga na Kibiti yakielekea stendi ya Kijichi. Nikamuuliza mtu mmoja imekuwaje leo haya magari yanaenda Kijichi badala ya Mbagala rangi 3? akajibu magari yote ya mikoani yanayoanzia Mbagala Sasa hivi stendi...