RC Chalamila
Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni.
Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri.
Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu.
Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini leo ni mwaka wa nne toka ikamilike lakini haitumiki! Yani wananchi wa Chato wanateseka kwa kuchomwa...
Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
Wakuu,
Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho.
Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimesema tayari...
Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri.
Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande...
Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah!
Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao...
KITUO CHA MABASI MWENGE
Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni
Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023
Ufadhili:fedha za ndani
Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja.
Gharama ya ujenzi : Billioni 15
Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu.
STENDI YA MABASI YA...
Moja kwa moja kwenye mada.
Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo.
Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli.
Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa mbalimbali na hivyo Jina la Magufuli linaweza lisifutike.
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.
Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...
Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa.
Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri.
Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa majina yao kwenye mali na miradi ya nchi, hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.
Kwa mfano, si sawa kwa stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi Luis, uwanja wa soka wa Taifa, viwanja vya ndege, madaraja, vivuko, shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.