Mji wenye pilika nyingi km Arusha unakuwaje na kastand kadogo kazamani km hii iliyopo? Utaambiwa kuna ubishani kati ya mbunge na viongozi wengine wa mkoa.
Wananchi ndio wenye nchi ndio wanaotumia stand nchi ina Rais eti pesa ipo na eneo lipo kule bondeni city ujenzi hauanzi, we Rais...