stephen masele

Stephen Julius Masele (MP) (born October 1, 1979) is a Tanzanian Diplomat, Member of Parliament, global young politician and a former Investment Banker. Masele is the current First-Vice President of the Pan-African Parliament (PAP), an organ of the African Union based in South Africa. Elected in May 2018, he oversees Administration and Human Resources of the Continental Body among others. He also presides over the Pan-African Parliamentary Alliance on Food Security and Nutrition (PAP-FSN), a joint PAP-FAO project for Africa. He has been a member of the Pan-African Parliament since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  2. T

    Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii imekaaje wadau?
  3. N

    Yuko wapi Stephen Masele, Mwanasiasa machachari aliyefanyiwa figisu na Ndugai?

    Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa. Je, Mama yetu Samia anakumbuka alivyoahidi mtangulizi wake kuhusu huyu bwana? Je, ndiyo mwisho wa Masele...
Back
Top Bottom