Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Vodacom Tanzania, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na kushoto ni Mdau wa...
Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi.
Nilipofika...
Well and good tunashukuru Serikali kwa kuanzisha huduma hii hakika inaleta unafuu na kukuza uchumi wetu as well kuipa sifa nchi yetu.
Ingawa kuna changamoto kidogo ya baadhi ya wahudumu kutokua na customer care nzuri, just imagine mtu unashida ya kuextend au kucancel safari mhudumu anakujibu...
Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.