Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma...