Wakuu,
Akiwa anatoa "zawadi" ya bodaboda hivi karibuni kwa mchekeshaji Asha Boko, Steve Nyerere amesema kuwa kuna kipindi alikuwa na Rais Samia na kwamba Rais Samia alimuuliza yeye kuhusu wapi alipo Asha Boko.
Binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hizi zawadi zinatoka kwenye mfuko wa hiyo...
Oktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani.
Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!