steven mukwala

Steven Mukwala (born 15 July 1999) is a Ugandan professional footballer who plays as a striker for Asante Kotoko SC in Ghana. He played Vipers SC and loaned at Maroons FC of Uganda Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Huyu streka refu kuliko goli, Steven Mukwala ndio tuseme anaipenda sana Simba au ni Ubishoo tu?

    Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
  2. GENTAMYCINE

    Baada ya Kumsajili Mchezaji niliyemtaka Steven Mukwala kutoka Uganda sasa naomba mnisajilie Kiungo Mchezeshaji kama Haruna Niyonzima Timu itishe zaidi

    Nimefurahi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kufanikisha haraka sana Usajili wa huyu Mshambuliaji mahiri mno kabisa.
  3. GENTAMYCINE

    Huyu Mchezaji Steven Mukwala kutoka Uganda akisajiliwa na Simba SC nitajua sasa Simba SC wameamua kuwa Serious na Vikombe walivyovikosa

    Kwa Kipaji kikubwa alichonacho na kwa aina ya Vipaji vilivyopo hapa nchini Uganda Simba SC watafanikiwa nae mno. Steven Mukwala
Back
Top Bottom