steven mukwala

Steven Mukwala (born 15 July 1999) is a Ugandan professional footballer who plays as a striker for Asante Kotoko SC in Ghana. He played Vipers SC and loaned at Maroons FC of Uganda Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu streka refu kuliko goli, Steven Mukwala ndio tuseme anaipenda sana Simba au ni Ubishoo tu?

    Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
  2. Baada ya Kumsajili Mchezaji niliyemtaka Steven Mukwala kutoka Uganda sasa naomba mnisajilie Kiungo Mchezeshaji kama Haruna Niyonzima Timu itishe zaidi

    Nimefurahi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kufanikisha haraka sana Usajili wa huyu Mshambuliaji mahiri mno kabisa.
  3. Huyu Mchezaji Steven Mukwala kutoka Uganda akisajiliwa na Simba SC nitajua sasa Simba SC wameamua kuwa Serious na Vikombe walivyovikosa

    Kwa Kipaji kikubwa alichonacho na kwa aina ya Vipaji vilivyopo hapa nchini Uganda Simba SC watafanikiwa nae mno. Steven Mukwala
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…