steven wasira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Hii tabia ya kudharau Wananchi haifai. Nimwambie Wasira kuwa watanzania wakitaka kuzuia uchaguzi mkuu Inawezekana

    Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa. Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi...
  2. Pre GE2025 Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema hakuna chombo chochote cha serikali wala chama cha siasa kinachoweza kuahirisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu, hivyo Watanzania wajiandae kwa uchaguzi huo. Wasira amesema watu wanaotoa hoja kwamba uchaguzi mkuu...
  3. Pre GE2025 Pambalu: Tuachane na Wasira tupambane na Samia

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka! === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho kuacha kupambana kisiasa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kwa kudai...
  4. R

    Pre GE2025 Wasira azijibu hoja za Mzee mwenzie Jaji Warioba kabla ya kujibiwa na Tundu Lissu

    Hellow! Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba. Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA...
  5. Pre GE2025 Wasira: Mabadiliko yalishafanywa na sheria za uchaguzi zilipatikana, kulazimisha viwepo wanavyotaka wao ni Udikteta wa Kidemokrasia

    Wakuu, Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute. Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya miswada kupelekwa bungeni na baadaye kupitishwa baada ya kupitiwa kuwa sheria. Wasira anaongeza...
  6. Pre GE2025 Mzee Wasira apokelewa rasmi Mwanza, ateta na kamati ya siasa ya mkoa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  7. J

    Pre GE2025 Wassira: CCM tutaendelea kushika dola kwa kupigiwa kura sio kwa mtutu wa bunduki

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki. Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea...
  8. A

    Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

    Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali. Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti...
  9. Pre GE2025 CCM kumchagua Wasira kama Makamu Mwenyekiti ni tusi kubwa kwa vijana na wanawake wa chama hicho. UWT na UVCCM mbona mko kimya?

    Wakuu, CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa. Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho. Maana yake ni kwamba, Wasira anakuwa Mwanaume 8 kushika nafasi...
  10. Pre GE2025 Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa

    Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa. Wasira ametoa...
  11. UDSM inaanza kupoteza ushawishi,viongozi wakubwa wa kitaifa serikalini na kwenye chama wamesoma vyuo vingine

    Kama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili: Samia Suluhu Hassan Emmanuel Nchimbi Amos Makala Steven Wasira Hawajahi kukanyaga UDSM Mzumbe university inaenda kuireplace UDSM ba miaka 20 ijayo UDOM inashika hatamu
  12. Pre GE2025 Uchambuzi: CCM kumteua Steven Wassira ni onyo kwamba watashinda uchaguzi wa 2025 kwa gharama yoyote, CHADEMA ijipange kwa uchaguzi wa 2030 na si 2025

    Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya. Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine khasa ya kimataifa zaidi. Hivyo kuna wakati najikuta naangalia kinoendelea hapahapa nchini mwetu na...
  13. Pre GE2025 Wasira ameupata Ubunge akiwa na miaka 23 leo ana miaka 80. Nini hajafanya Tanzania mpaka apewe umakamu?

    Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie? Soma Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…