storage

CONFIG.SYS is the primary configuration file for the DOS and OS/2 operating systems. It is a special ASCII text file that contains user-accessible setup or configuration directives evaluated by the operating system's DOS BIOS (typically residing in IBMBIO.COM or IO.SYS) during boot. CONFIG.SYS was introduced with DOS 2.0.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Construction Tender at St. Jude Schools

    We invite reputable Class 6 and above building contractors registered with the Contractors Registration Board (CRB) to submit tenders for this project. Guidelines and further details will be provided during the mandatory site visits. For more details, see the attached document.
  2. P

    Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  3. steve_shemej

    Phone4Sale Nauza simu za aina mbalimbali

    VIVO Y71 RAM 6 STORAGE 128 Moja tsh 100000 Jumla kuanzia tatu 92000 tu Pia unaweza kuagiza china kwa bei za viwandani Tupo kariakoo karibu dukani pia mkoani unatumiwa Call/whatsap +255713861567
  4. zigi 01

    Storage area network

    Naomba kujua maana hasa ya hii aina ya network na naitumiaje kwenye mazingira yangu? Nina MySQL Database nataka kuiongezea ukubwa wa kuhifadhi data nikapewa ushauri nitumie hiyo SAN sasa sijaifahamu ni kwa vipi hii technology inafanya kazi!!
  5. sky soldier

    Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  6. Mpetde

    Nini tofauti ya SSD, Cloud Storage & Virtual Storage?

    Mkuu The bump Tunaomba utoe ufafanuzi wa vifuatavyo SSD ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Cloud storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Virtual storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Tunaomba maelezo yaliyojitosheleza maana nimefanya km...
  7. R-K-O

    Kuongeza ufanisi wa pc kwa bajeti, Je ninunue SSD GB 128 kwajili ya windows kisha niigeuze hdd ya 1 tb kwajili ya storage au ni lazima iwe 1TB SSD ?

    Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd. laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye 8GB, zamani zilikuwa nafasi mbili jumla ya ram ilikuwa 16 gb. nimeona speed ya pc imepungua si kama...
  8. Lububi

    Permanent data storage

    Wadau wa tech sijawai kukosa majibu. Kweli watu wa tech ni smart and generous. Watu wa jukwaa la sheria tutawajadiri siku nyingine. Sasa katika kutafuta njia ya kisasa ya kutunza movies nikahis kuna kifaa zaid ya hizi HDD ambazo zina expire na data kuharibika. Je, kwa kifaa na si kutunza kwa...
Back
Top Bottom