store ya mchele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nataka kufungua store ya mchele Dar, msaada

    Nina mpango wa kufungua store ya mchele Dsm...sipo kwa muda wa miaka 3 ... Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa sasa nilitaka niingie na Tone 2 nikiwa na cash Mil.2 Najua mtaji wangu unaweza kuonekana mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…