stori za mastaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kama huyu ni Aziz Ki, mimi ni nani mpaka nikatate tamaa ya maisha.

    Swali kuu ni je, Hamisa angekubali kuolewa kama Azizi angekuwa bado yupo hivi?
  2. GENTAMYCINE

    Lulu Diva kwahiyo kabisa ulitegemea ukienda katika hilo Tukio lililojaza Masela wengi Magomeni utatoka salama bila Kuibiwa Simu? Pole sana

    Lulu Diva apigwa Iphone 16, alimpa mlinzi wake wamuwekee chaji Msanii wa muziki @luludivatz amejikuta katika wakati mgumu baada ya simu yake Iphone 16 kuibiwa na mtu asiyejulikana. Tukio hilo limetokea usiku huu katika pambano la Knockout ya Mama Magomeni jijini Dar Es Salaam. Kwa mujibu wa...
  3. Mindyou

    Mwigizaji mashuhuri, Gene Hackman na mkewe wakutwa wamefariki nyumbani kwao

    Mwigizaji nguli Gene Hackman na mkewe Betsy Arakawa wamepatikana wakiwa wamefariki dunia nyumbani kwao huko Santa Fe, New Mexico. Polisi wamesema kuwa hakuna dalili za uhalifu, lakini sababu halisi ya vifo vyao bado haijajulikana. Hackman alikuwa na umri wa miaka 95 na alikuwa mshindi wa tuzo...
  4. Dr. Mariposa

    Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

    Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed, Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa...
  5. Waufukweni

    Diamond athibitisha Mbosso kuondoka rasmi WCB Wasafi na hajamdai hata TSh. 10

    Bosi wa lebo ya muziki wa WCB Wasafi Diamond Platnumz amethibitisha Mbosso kuondoka rasmi chini ya lebo hiyo na kuwa msanii huru ambaye anajitegemea mwenyewe kisanaa. Soma: Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB Akimwelezea kutokana na ukarimu na heshima ya Mbosso kipindi chote wakiwa...
  6. B

    Wakili Bashir Yakub: Kisheria sio kosa mtu kuchoma mali yake

    SIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE. Bashir Yakub, WAKILI +255714047241 MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party). Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu, ukichoma ama kuharibu mali ya mtu, anayekuwa amekosewa/ ameumizwa ni huyo mwenye mali yake au huyo...
  7. Tunzo

    Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

    Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje...
  8. Waufukweni

    Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

    Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham. Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Huu ni usanii gani, usanii kutembea nusu utupu?

    Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani? Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
  10. Mindyou

    Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda?

    Wakuu. Ni wazi kuwa tangu mwaka huu uanze Zuchu hana any solid projects kwenye catalogue. Nyimbo zote ambazo amekuwa akitoa, zinahit kidogo Tiktok, baada ya mwezi zinapotea. Hii taarifa yake kwamba ameachana na Diamond its an obvious showbiz prank ili kuteka attention ya mashabiki...
Back
Top Bottom