MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022
Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe.
Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa.
Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima hii.
Leo nimefika JF na nimekabidhiwa zawadi zangu.
Huo mfuko ndimo zilimo hizo zawadi zangu.
Zawadi...
MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA
Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio utamu unaongezeka. Lakini katika maisha ya vijana ni tofauti, kupata maendeleo kwa kufanya vitu vingi...
Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu, usawa na unafuata utawala wa sheria. Tanzania ikiwa moja kati ya miongoni mwanchi zenye kuzingatia demokrasia na utawala bora, ilifanikiwa kuanzisha tume ya haki za binadamu...
Dawa na vifaa tiba ni nyenzo muhimu katika kuhakikisha utoaji wa huduma bora za afya kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini na kuhakikisha kuwa jamii inakuwa na afya bora. Pamoja na umuhimu huo, sekta ya afya imekuwa na changamoto ya uhaba wa dawa na vifaa tiba. Hii inapelekea ugumu wa utoaji wa...
Kutatua mapengo ya kijinsia katika TEHAMA ni muhimu kwa mustakabali endelevu
"Kuwawezesha wasichana kuchagua taaluma za TEHAMA sio tu nzuri kwa wasichana na familia zao, inaweza kuwa kichocheo kikuu cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika ngazi ya kitaifa." - Brahima Sanou, Mkurugenzi...
KESHO ISIYOFIKA
“Unasikia midundo iyoo Chris!!? Yule Shayo mgombea wa PMP amekuja bwana!” Madokola, alimshtua Chris kwa kelele maana kwake yeye alidhani Chris alikwishazama katika ndoto na usingizi mzito.
“Naamka aisee!” alijibu Chris kwa sauti ya chini “Kwani watu wamekwisha jaajaa uwanjani?”...
(Mwanzo) Hadithi Fupi
“Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka haraka jamani tutakosa wateja, na wateja ndio pesa. Au unafikiri hivi vitumbua vitajipeleka vyenyewe...
Elimu ni jumla ya mambo yote ya kuhusu ujuzi,stadi,maarifa na muelekeo katika jamii.katika nchi yetu ya Tanzania tunaona kuwa Mfumo wetu wa uendeshaji umekaa vibaya,kuna baadhi ya mambo mengi ambayo hupelekea hichi chanzo.
(1)Chanzo ni Nini mpak tunaona Mfumo wetu wa elimu ni mbaya?
(i)...
Naikumbuka bayana siku hiyo. Hususani ule mlio, mkubwa kuliko kumbukumbu yenyewe. Nilikua mdogo sana lakini nakumbuka dhahiri kila kitu. Ni moja kati yale matukio unayobeba akilini mpaka kifo. Yale matukio tambuzi yanayoathiri mustakabali wa maisha yako. Na ndio maana sielewi! Sielewi kwanini...
Utajiri, pesa, umaarufu, vyeo, mamlaka, afya, chakula, mavazi, kazi, nyumba, magari, simu ya kisasa, unaweza kutaja mafanikio yoyote ambayo umepata. Hakika orodha haijaisha. Sasa nikuulize, ni mafanikio gani makubwa uliyoyapata maishani?
Fikiria juu ya hili unapochimba chini kwenye hii...
Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
Ndoa ndoano ni msemo wa muda mrefu sana ukimaanisha kuwa wawili waingiapo kwenye ndoa hawawezi kuachana na wanapaswa kuvumiliana katika hali zote za shida na raha.Ni kama wavuvi wanavyovua Samaki na ndoano. Samaki akinasa kwenye ndoano basi hawezi kuchomoka.Dini zetu pia zinatuongoza kuwa wawili...
Bado naukumbuka usiku ule vizuri, nilikuwa nimekaa nikifunikwa na giza nene wakati mshumaa mwembamba ukimulika mwanga mdogo. Muda huo nilijaribu kumaliza chakula kilichopo kwenye sahani yangu nikiomba kimoyomoyo umeme urudi. Akili yangu ikachangamka na nikawatazama baba na mama waliopo mbele...
Muhtasari:
Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.