Miongoni mwa mada muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu ni Nishati ya kupikia. Historia inasomeka kuwa mwanadamu alianza kupata maendeleo makubwa (evulution) baada ya kujua namna ya kudhibiti moto na kuutumia kupikia na kisha kwenye shughuli nyingine. Alipoanza kupika, ndipo mabadiliko makubwa...