#storiesofchange

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile uwiano wa kisiasa na kiuchumi

    Napenda kutoa ponzi na shukrani kwa uongozi wa jamiiForums kisha natoa salam kwa watanzania wenznagu pamoja na viongozi wetu,hakika Mungu atuzidishie afya. Hakika kwa mtazamo wangu.Tanzania tuitakayo ni ile yenye uwiano wa kisiasa na kiuchumi. Haya ndiyo mambo makuu yatkayobadilisha hali ya...
  2. SoC04 Tanzania tuitakayo sekta ya Elimu

    TANZANIA TUITAKAYO # SEKTA YA ELIMU Kwanini andiko hili limeegemea zaidi katika sekta ya elimu? Jibu ni hili katika maeneo muhimu na nyeti ambayo yakichezewa basi taifa laweza kupoteza dira na mwelekeo ni eneo hili la elimu hivyo kama tutakua makini katika eneo hili tunaweza kuitengeneza...
  3. SoC04 Mawazo thabiti ya namna ya kuyafikia maendeleo nchini Tanzania

    Uwazi na uwajibikaji thabiti katika uongozi; ikiwa taifa litatunga sera,sheria na miongozo ambayo itakwenda kuzilazimisha tawala/watawala kua wawazi katika utendaji na utekelezaji wa shughuli za kiserikali hii itaenda kupunguza au kuondoa kabisa ubadhirifu wa rasilimali za taifa na kodi za...
  4. P

    SoC04 Uwekezaji wa vijana

    Napenda kushiriki katika story of change kwa kutoa mawazo, mapendekezo na maoni yangu juu ya Tanzania tuitakayo. Yapo mengi ambayo ningependa kuyazungumzia katika mada hii lakini ushiriki wangu utaangazia zaidi juu ya suala la Uwekezaji kwa Vijana. Nini maana ya uwekezaji kwa vijana? Uwekezaji...
  5. J

    SoC04 Tanzania Ijayo

    TANZANIA IJAYO Joseph Nyoni Nikiwa kama mtanzania, napenda kuchangia mambo kadhaa ambayo yatakuja kuinua taifa hili na kufanya liwe na maendeleo makubwa. Endapo mambo haya yatafanyika basi miaka 25 ijayo hatutatembea tena bali tutakuwa katika marathoni ya maendeleo; Kwanza serikali ishawishi...
  6. M

    SoC04 Watoto wa Kitanzania wenye mabadiliko

    Nchi ya Tanzania ni nchi iliyobarikiwa Sana kwa rasilimali nyingi na yenye watu wenye wenye moyo na kuwajibika. Nchi yetu iliweza kupambana na kuondoa ukoloni na pia kuingiza sera ya ujamaa na kujitegemea. Katika hili tunajivunia kuwa na viongozi waliokua na maono juu ya nchi yao na kuwa na...
  7. SoC04 Mbinu za kuboresha sekta ya utalii katika Tanzania tuitakayo

    Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na vivutio vya utalii sekta hii imekua ikikabiliwa na changamoto mbalimbali zinazozuia ukuaji wake wa...
  8. J

    SoC04 Tehama na Taifa la Tanzania kwa miaka mitano ijayo

    TEHAMA NA TANZANIA YA KESHO: Teknolojia ni elimu ya utengenezaji, utumiaji wa vifaa vya maarifa, mashine, mifumo au njia zitumikazo kutatua tatizo kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa jambo Fulani katika jamii. TEHAMA ni kirefu cha technolojia ya habari na mawasiliano, inajumuisha vifaa mbalimblai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…