Hivi chanzo hasa cha uchafu ni nini? Maana bila kujua ugonjwa ulipo utahangaika sana kumeza dawa lakini wapi...
Kuna sababu nyingi lakini kubwa hasa ninayoiona kwa nchi yetu ni kutolipa kipaumbele swala la usafi wa mazingira. Hapa najumuisha wananchi (yaani mtu mmoja mmoja, vyombo vya habari...