Toka mtandaoni
UTANGULIZI
Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na uchambuzi bali nguvu ielekezwe kwenye utekekezaji wake ili kuleta matokeo chanya kila mwaka na ni nini...
To any spiritual teacher/any person, please can you tell what's the meaning of this dream.
I received this dream from Dm in my Twitter (X) account please help a brother
"Hello brother G, i hope u doin gudie, can you pls find a person to give the meaning of this dream?
I dreamt that i have a...
USHIRIKI WA WANAWAKE KWENYE SIASA
NA MAONO JUU YA TANZANIA TUITAKAYO
**********************************************
Ulikuwa ni siku ya Jumapili amabpo nilikuwa nimepumzika chini ya mti mzurii wenye kivuli na upepo uletao faraja, Mara ghafra akili yangu ikaama na kuanzakuwaza Mambo mengi Sana...
Hili ni suala dhamira ya kuelekea mustakabali wa Tanzania katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Kwa muhtasari, maudhui muhimu yanayoweza kuzingatiwa ni:
1. Maendeleo endelevu na upatikanaji wa rasilimali:
- Kuchambua mikakati ya kutumia rasilimali za asili kwa njia endelevu na kuweka mipango ya...
Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko.
Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani kuona mawazo ya Wa Tanzania wenzangu ya kiuchumi na tuangalie namna gani kwa pamoja tunaweza...
Napenda kushiriki katika story of change kwa kutoa mawazo, mapendekezo na maoni yangu juu ya Tanzania tuitakayo. Yapo mengi ambayo ningependa kuyazungumzia katika mada hii lakini ushiriki wangu utaangazia zaidi juu ya suala la Uwekezaji kwa Vijana.
Nini maana ya uwekezaji kwa vijana?
Uwekezaji...
Na. Jofreyson1
TANZANIA TUITAKAYO: picha na azam news
Kuwekeza KATIKA KILIMO NA VIWANDA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi za kilimo zinazoweza kuimarisha uchumi wake. Katika kuelekea kwenye Tanzania tuitakayo, ni muhimu kwa serikali kuwekeza kwa kina katika...
Ajira ni tatizo kubwa linalozikumba nchi nyingi duniani, tatizo hilo linajulikana kama (Global Problem) likiwa na maana ya tatizo la kidunia. Kutokana na ripoti iliyotolewa na Decent Job for Youth 2024, inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 13.3% ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35...
Source: Kitini cha sheria
UTANGULIZI
Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya mifumo ya utawala, kama vile suala la DP World, urasimu katika maofisi ya umma, na uonevu...
Mheshimiwa Waziri wa Fedha,
Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
mzalendo kijana
siasa
siasa na uongozi
stories ofchangestoryofchangestoryofchange 2023
tanzania
utawala
utawala bora
utawala bora na uwajibikaji
uwajibikaji
vijana na siasa
vijana na siasa uongozi
Elimu ni nini? Ni ujuzi ambao kitu chochote au mtu yeyote mwenye ufahamu anaupata ambao atamsaidia katika maisha yake ya kila siku. Unapopata ujuzi katika maisha ni moja ya njia ya kujikomboa na kujua nini kifanyike katika mazingira yanayokuzunguka. Ukiwa na ujuzi wa elimu mbalimbali hapa...
Habari, jina langu ni Miriam, na leo ningependa kuzungumza na wanajamii kuhusu afya ya uzazi kwa wakina Mama na watoto.
Kumekua na wimbi kubwa la wanawake/mabinti wanaopata ujauzito kwa miaka ya hivi karibuni, kutokua na elimu sahihi juu ya makuzi ya mtoto tumboni.
Moja kati ya eneo ningependa...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
UTANGULIZI
Sjui ni Mimi tu au Kuna wenzangu ambao pia hukerwa na baadhi ya tabia mtandaoni kutokana na matumizi mabaya ya mtandao.
kupitia maarfa ya Sayansi na Teknolojia tumeona Faida nyingi ambazo zimesaidia mtu mmoja mmoja au kundi la watu kuweza kunufaika na maarfa...
'Mama Kibandiko Unajua kupika kila kitu!'-" Pishi la Leo Maharagwe tena yame changanywa na Tui la Nazi!!'. ..."Basi Shibe yangu imekua Balaa".
"Huwa nahisi raha Sana, pia najisikia Amani kula Chakula kilicho pikwa na Mke Wangu"-
Nakumbuka nilimsifia Mkwe wangu kwa maneno hayo Mara Badaa ya...
DENI LA TAIFA NA UNYONGOFU WA MFUMUKO WA BEI
Mikopo inatoa uwezo wa kununua baada ya ahadi ya kurejesha, ambapo deni linazaliwa. Uzuri wa deni au ubaya unaamuliwa kwa uzalishaji uliosimamiwa na mkopo huo pamoja na jinsi deni linavyo lipwa.
Mfano: Kukopa fedha kwa ajili ya elimu ambayo...
Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali kama mafuta na bidhaa nyingine nyingi.
Lakini pia zao la parachichi limekuwa hitaji kubwa sana...
Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu tumekua tukila matunda kwa kupenda ladha yake lakini hatujapata bahati ya kujua kwa undani faida za...
Siasa za upatikanaji wa elimu nchini Tanzania
Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa
Je, kuna sababu za uchaguzi katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari? Katika makala hii, tunauliza na kujibu swali hili katika muktadha wa sera ya kiprogramu ya kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari...
Habari Tanzania, leo nina habari njema sana, lakini kabla haujajua nini hasa nataka kukueleza ni muhimu ukajua kwamba habari hii huenda unaifahamu , unaishi nayo, unaiona kwa watu wengine ama ndio kwanza, unaisikia kutoka kwangu . Natumia wino huu kukujulisha juu ya ‘AFYA YA AKILI’ .
Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.