story za mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Hili linasikitisha sana na kufurahisha pia - Maisha Ya Harry Maguire

    🎯HILI LINASIKITISHA SANA NA KUFURAHISHA PIA. By Lackson Tungaraza ♦️Pichani ni mchezaji wa mpira wa miguu katika kilabu ya Manchester United iliyopo Uingereza. Jina lake ni HARRY MAGUIRE na anacheza katika nafasi ya beki wa kati. Harry Maguire alisajiliwa kwa pesa nyingi sana katika kilabu...
  2. Ntaganda boy

    SoC01 Magonjwa ya haiba yanavyoathiri mahusiano

    MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP) Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima Haiba: Ni urithi au vitu unavyozaliwa navyo na baadhi kutoka kwenye mazingira na kukufanya au kumfanya...
  3. K

    Ushauri wenu: Kuna umuhimu kuridhisha wakwe wa siku hizi?

    Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata mtu sahihi bado wa kuongea nae vizuri akanielewa. Mimi ni kijana fulani wa makamo, katika miaka ya...
  4. Abubakari M N

    Simulizi: Kinu cha Mama

    KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
  5. Gily Gru

    Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

    Kitanda changu ni nne kwa sita, mke wangu aisee ana staha sana. Kinachofurahisha Zaidi ukimshika mgongo nywele zinasisimka, ukimshika paja linatelezaa tu, ukimnong’oneza mpaka nywele za kichwani zinasimama, ukimbinya hata sauti inabadilika “mm m-mm-e wangu” Ukimaliza anashukuru na siku...
Back
Top Bottom