Hivi Majuzi niliona nimeamka kutoka usingizini lakini cha kushangaza nilijiona bado nipo kitandani nimelala.
nilijaribu kujiamsha lakini sikuamka, basi nikapotezea. Nikaamua nitoke nje niende dukani nikanunue Azam Energy lakini cha kushangaza kila nikipiga hatua siendi popote...