Hii ya kwenu wenye taasisi, kampuni changa na ndogo, NGOs, Churches, private schools and colleges, ..
Natoa huduma katika eneo la "Strategy consulting" ili kubaini maeneo muhimu ya kufanyia kazi na kuleta tija tarajiwa ambayo pengine imechelewa kufikiwa, au imefikiwa kwa kiwango cha chini na...