stroke

A stroke is a medical condition in which poor blood flow to the brain results in cell death. There are two main types of stroke: ischemic, due to lack of blood flow, and hemorrhagic, due to bleeding. Both result in parts of the brain not functioning properly. Signs and symptoms of a stroke may include an inability to move or feel on one side of the body, problems understanding or speaking, dizziness, or loss of vision to one side. Signs and symptoms often appear soon after the stroke has occurred. If symptoms last less than one or two hours it is known as a transient ischemic attack (TIA) or mini-stroke. A hemorrhagic stroke may also be associated with a severe headache. The symptoms of a stroke can be permanent. Long-term complications may include pneumonia or loss of bladder control.The main risk factor for stroke is high blood pressure. Other risk factors include tobacco smoking, obesity, high blood cholesterol, diabetes mellitus, a previous TIA, and atrial fibrillation. An ischemic stroke is typically caused by blockage of a blood vessel, though there are also less common causes. A hemorrhagic stroke is caused by either bleeding directly into the brain or into the space between the brain's membranes. Bleeding may occur due to a ruptured brain aneurysm. Diagnosis is typically based on a physical exam and supported by medical imaging such as a CT scan or MRI scan. A CT scan can rule out bleeding, but may not necessarily rule out ischemia, which early on typically does not show up on a CT scan. Other tests such as an electrocardiogram (ECG) and blood tests are done to determine risk factors and rule out other possible causes. Low blood sugar may cause similar symptoms.Prevention includes decreasing risk factors, as well as possibly aspirin, statins, surgery to open up the arteries to the brain in those with problematic narrowing, and warfarin in those with atrial fibrillation. A stroke or TIA often requires emergency care. An ischemic stroke, if detected within three to four and half hours, may be treatable with a medication that can break down the clot. Aspirin should be used. Some hemorrhagic strokes benefit from surgery. Treatment to try to recover lost function is called stroke rehabilitation and ideally takes place in a stroke unit; however, these are not available in much of the world.In 2013 approximately 6.9 million people had an ischemic stroke and 3.4 million people had a hemorrhagic stroke. In 2015 there were about 42.4 million people who had previously had a stroke and were still alive. Between 1990 and 2010 the number of strokes which occurred each year decreased by approximately 10% in the developed world and increased by 10% in the developing world. In 2015, stroke was the second most frequent cause of death after coronary artery disease, accounting for 6.3 million deaths (11% of the total). About 3.0 million deaths resulted from ischemic stroke while 3.3 million deaths resulted from hemorrhagic stroke. About half of people who have had a stroke live less than one year. Overall, two thirds of strokes occurred in those over 65 years old.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Kumlazimisha mtu kutoa sadaka ya shukrani kwa kufiwa na mama yake aliemuuguza miaka 10 kwa cancer na stroke yenye mateso makali sio sawa

    Habari wadau Kuna familia imepata msiba wa mama yao. Mama huyo amefariki kwa mateso makali ya kuugua kwa zaidi ya miaka 10. Mama huyo alikuwa na cancer na Stroke pia. Familia imeuza mali zao karibu zote katika harakati za kumtibia mama yao na mateso ya kisaikolojia ya kuuguza wamepitia sana...
  2. MARADHI YA KIHARUSI STROKE

    Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa zaidi ya masaa 24. Kulingana na shirika la afya duniani kiharusi ni nakisi katika neva ambayo hutokana...
  3. Ifamu ugonjwa wa Kiharusi (Stroke), Dalili na Matibabu:

    Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo. Kiharusi husababisha ulemavu na vifo duniani kote ambapo kila mtu mmoja (mwenye miaka 25 na zaidi) kati ya wanne hupata...
  4. Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

    Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime...
  5. Viongozi hawajui Biashara, ndio mana Wabunge wakistaafu Wanapata 'Stroke'

    Wabunge WENGI WAKISTAAFU WANAPATA ‘STROKE’ - DKT. MSUKUMA Ijumaa Ya Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANA na LEO, Dr Joseph Kasheku Musukuma MBUNGE wa GEITA amesema hata suala ka kufeli kwa mradi wa Mwendokasi ni kutokana na kuwaamini Wasomi
  6. KWELI Kupiga 'Love Bite' shingoni inaweza kusababisha mtu kupata Kiharusi (Stroke)

    Wakuu hii imekaaje aisee? Isije tukauma Watoto wa watu huko mtaani wakafia ghetto au kupata Stroke ile yenyewe sio stroke ya yale mambo?
  7. Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

    Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
  8. Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

    Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na...
  9. Muhimbili sasa ina teknolojia ya kuyeyusha damu (blood clots) kwa watu wenye stroke pia kutibu uvimbe kwa wanawake (Fibroids) bila kufanyiwa upasuaji

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo inatumia mtambo wa kuyeyusha damu iliyoganda kwa mtu aliyepata kiharusi. Profesa Janabi alisema hayo Dodoma jana na akasema kwa sasa kwa wanaopata ugonjwa huo wanatibiwa kwenye kifaa hicho...
  10. Kwanini hakuna Awareness ya kutosha kwa Ugonjwa huu wa Kiharusi (Stroke) nchini Tanzania?

    Jamani kama Ugonjwa ambao kwa sasa Unawakumba kwa sana Watu wazima (kuanzia wa Miaka ya 60 na kuendelea) na naambiwa kwa sasa hata Vijana nao (achilia mbali Sisi Wazee wa Kati akina GENTAMYCINE tunaupata ) wanaupata ni wa Kiharusi ( Stroke ) Huzuni Kubwa inanipata ninapoandika huu Uzi kwani...
  11. Injini za Boti aina ya Mercury 40hp 2 stroke zinauzwa

    Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono. Engine ni ya carburetor na used kutoka Africa kusini. Engine bei ni...
  12. Matibabu ya Kiharusi (Stroke) nchini hugharimu Tsh. Milioni 5-15

    Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea. Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
  13. Stroke inaweza kumtokea mtu yeyote na ni hatari

    Tupo wanne tumetokea kuelewana na kuwa marafiki wakubwa. Rafiki yetu mmoja amefanikiwa kujenga nyumba nzuri tu ya ghorofa, anaishi na mume wake na mabinti zao wawili. Weekend moja alitulika katika sherehe ya mtoto, hatukua wengi sana, kwakua sherehe ilikua ni ya watoto, yeye na mume wake...
  14. Uchaguzi 2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

    Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU... Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali... Baada ya miaka mitano, mwaka huu ni uchaguzi mwingine. Mpaka sasa binafsi kwa kweli...
  15. Maagizo toka juu yakitekelezwa na Polisi: Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akivutana na Polisi

    Eti hatuelewi nguvu ya dola, ambayo ni nguvu ya chama dola. "Ni uzembe kutolewa madarakani ukiwa umeshika dola" KM CCM
  16. Ugonjwa wa kiharusi/ kupooza (stroke): Kinga, tiba na jinsi ya kukabiliana na maradhi haya

    MARADHI YA KIHARUSI Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa zaidi ya masaa 24. Kulingana na shirika la afya duniani kiharusi ni nakisi katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…