Viongozi wa EFM, kipindi chenu kinachorushwa kila siku saa moja jioni, cha jioni ya Leo, ni kibaya, sana, kimejaa maudhui ya kingono ngono, lugha zisizo na staha.
Kipindi cha Jana, tarehe 09/09/24, mtangazaji alitumia, maneno kama "tumeishapenzika"" Kushobokea"wakati wa, simulizi yake...