subira mgalu

Subira Khamis Mgalu (born 17 May 1973) is a Tanzanian politician and member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) who serves as the current Deputy Minister of Energy.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Subira Mgalu: UWT chini ya Mwenyekiti Chatanda Hatujaaminiwa Kuja Kuuza Sura, Mradi Huu Uchunguzwe

    MBUNGE SUBIRA MGALU: UWT CHINI YA MWENYEKITI WETU MAMA CHATANDA HATUJAAMINIWA KUJA KUUZA SURA, MRADI HUU UCHUNGUZWE Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mama Mary Chatanda , imeviomba vyombo vya dola kuchunguza Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Subira Mgalu: Bandari ya Dar Haijauzwa Puuzeni Wapotoshaji

    MBUNGE SUBIRA MGALU: BANDARI YA DAR HAIJAUZWA PUUZENI WAPOTOSHAJI Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Pwani na mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Taifa Mhe. Subira Mgalu amewataka wananchi wa wilaya ya Biharamulo na Tanzania kwa ujumla kutokubali upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu juu ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Biteko amsifu Mbunge wa Viti Maalum Subira Mgalu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko akiwa ziarani Mkoa wa Geita alimuelezea Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu kama mmoja wa wasomi wakubwa na mahesabu na mbobevu katika uchumi. "Tukiwa Bungeni, Mhe. Spika aliunda Kamati mbili za...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Subira Mgalu atema cheche upotoshaji uwekezaji wa Bandari

    MBUNGE SUBIRA MGALU - MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT TAIFA ATEMA CHECHE UPOTOSHAJI WA HOJA ZINAZOHUSU BANDARA YA DAR ES SALAAM AKIWA WILAYANI MBOGWE Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha Ndg . Subira Mgalu ameeleza kwa kufanua upotoshaji wa hoja...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKIWA KATIKA ZIARA MBALIMBALI NDANI TANZANIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara mbalimbali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika mikoa mbalimbali nchini. Mhe. Subira Mgalu katika kilele cha Sikukuu ya NaneNane ametembelea...
  6. S

    Subira Mgalu achukuliwe hatua kwa kumshambulia Profesa Tibaijuka bungeni badala ya kujadili Bajeti

    Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
  7. B

    Subira Mgalu atoa Elimu ya Mlipakodi Chalinze

    SUBIRA MGALU ATOA ELIMU YA MLIPAKODI CHALIZNE MKOA WA PWANI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ambaye ni Balozi wa kuhamasisha kulipa kodi tarehe 2 Mei, 2023 aliwahamasisha wafanyabiashara wa eneo la Mdaula Wilayani Chalinze kuhusu masuala mbalimbali ya kodi wakati wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Subira Mgalu akabidhi Vyerehani 130 vya Shilingi Milioni 32.5 kwa Wanawake wa Pwani

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKABIDHI VYEREHANI 130 VYA MILIONI 32.5 Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea kutekeleza azma yake ya kuwaimarisha kiuchumi Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) katika Wilaya za Mkoa wa Pwani, ambapo amekabidhi vyerehani 20 wilayani Kisarawe na...
  9. R

    Serikali kutoa ufafanuzi matumizi ya Milioni 480 kutangaza matokeo ya Sensa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote. Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
Back
Top Bottom