Kuna tabia ya baadhi ya watu kuvamia maeneo ya wazi au barabarani wakifungua biashara na mwishowe wakishindwa kuendelea na biashara ndogondogo hupangisha maeneo hayo kwa kuchukua kodi kila mwezi
Pia tabia hii imeonekana hata kwenye masoko makubwa pale watu wanawahi kuchukua sehemu za biashara...