subwoofer

  1. Zero Competition

    INAUZWA Subwoofer mpya inauzwa

    Subwoofer mpya aina ya ALITOP inauzwa na imetumika wiki mbili tu tangu itoke dukani Haina tatizo la aina yoyote ila nimepata dharula ndio maana nimeiweka sokoni Subwoofer hii ni size ya kati siku kubwa sana wala sio vile vidogo hapana, ina mziki mkubwa tu na inatosha kwa matumizi ya nyumbani...
  2. CORAL

    Nakamichi waongeza subwoofer za inchi 12 kwenye Dragon Soundbar, bei zashuka

    Tulizungumzia hii soundbar kwenye mada: FLAGSHIP SOUNDBARS. Nakamichi wanadai ni kufuatia maombi kutoka kwa watumiaji wa awali wa hii sound system ambapo 41% waliomba subwoofer ziongezeke uwezo na kati ya hao 67% wakataka ziwe za kuanzia inchi 12 na kuendelea. Wakati sisi wengine tukiona kuwa...
  3. I

    Subwoofer kusumbua kwenye bluetooth

    Subwoofer yangu naona inashida. Nikiwasha upande wa bluetooth inalia alafu inaacha kutoa sauti wakati bluetooth bado inaonekana imeunganishwa. Sijajua ni kwa sababu gani, mwenye ujuzi anisaidie tafadhali
  4. Sexer

    Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

    wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
  5. BabaMorgan

    Kama una mipango ya kununua subwoofer basi usithubutu kununua hii subwoofer.

    From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya miezi miwili ilianza kujizima ukiwasha unasikiliza hazipiti hata dk 2 inazima Ikabidi nirudishe dukani...
  6. BabaMorgan

    Msaada Subwoofer kujizima kila mara nini tatizo?

    Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo...
  7. Baba Rhobi

    Soundbars vs Subwoofer vs Hi-Fi

    Wakubwa kama title inavojieleza nahitaji kujua tofauti ya vitu hivyo vitatu hapo juu, na kwa mahitaji ya muziki mzito uliotulia ni kipi cha kuzingatia hapo juu. VS
  8. N

    INAUZWA Nauza mrUk Subwoofer kubwa bei chee Tshs 110,000

    Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000 Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa fundi ila naiuza ili nitatue changamoto zangu Ukiiona ndo utaamini ninachoeleza hapa Karibu...
  9. N

    INAUZWA MrUK Subwoofer inauzwa bei chee

    Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa Tshs 140,000 Subwoofer hii nimeitumia kwa muda wa miezi mitatu tu hivyo bado ina upya wake na haina tatizo la aina yoyote na boksi lake pia lipo Mziki ni mkubwa na hauumizi masikio na inafaa hata kwa sherehe ndogo ndogo za nyumbani. Napatikana Mbezi...
  10. Mamaya

    INAUZWA Powerful Harman Kardon Ts 11, powered subwoofer fore sale

    Kwa wale mnaopenda mziki mzito, nauza Subwoofer tajwa hapo juu, haina shida yoyote, kwa wale mnaohitaji real punch with pure bass inayikita kifuani ,mashine hiyo hapo 200watts rms ,ina coil ya 4ohm, ikiilinnganisha na sub za sea piano zilizozoeleka za 80w @2ohm ,hii ni sawa na 400watts @2ohms...
  11. Salahan

    Biashara ya Subwoofer

    Bei Ya China Bila Usafiri 60000 kila box (Sabufa Kubwa) Makadirio Usafiri na tozo za serikali kwa meli 40000 kwa box (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) 20 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 5000 kila box...
  12. Lexus SUV

    INAUZWA Subwoofer inauzwa, Moshi- free derivery within Moshi town

    🙏🏾
  13. aziz habib

    Subwoofer

    Nauza subwoofer aina ya mrUk Tzs125000 Bagamoyo. 0623716448.
  14. CEYLON

    Nauza Subwoofer Mr.UK

    Nauza subwoofer hii kwa 120000,Iko dar,lakin kama uko mbali na dar tunaweza fanya biashara vile vile
  15. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer spika 3

    Wana jf habari subwoofer yangu nauza Inatumia Bluetooth, flash, memorycad Pia kwa watu wenye sola wanaweza kutumia pia Volume 98 Bei 95,000 Nipo Chanika dar es salaam Mawasiliano 0623892902
  16. Komeo Lachuma

    Tofauti ya Hi- Fi System, Home Theater, Subwoofer na Music System

    Rejea kichwa cha Habari Husika. Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka katika Radio Mbalimbali ambazo zilikuwa njema nitaje chache. 1. Sony 2. Sharp 3. JVC 4. Panasonic Na...
  17. MAMESHO

    INAUZWA Subwoofer ya Gari. Steelmate. SW826

    Nauza subwoofer ya Gari. Imekuja na Gari. gari ina mziki mkubwa sana naiondoa. inakuja pamoja na waya wake wa kufungia Ina mziki mzuri sana. ukiwa na hii Huhitaji kujaza buti zima mamitungi kupata mziki mzuri. Bei ni sh 200,000/= Tuwasiliane piga/whatsapp 0713683422.
  18. Choosen85

    Je, una booster au subwoofer imeshindikana kutengenezeka?

    Tumekuandalia saketi bora ikiwa na sifa zifuatazo. Inatengenezeka kirahisi sana kwani haina mavitu mengi kama zile za mchina. Ina nguvu ya kutosha kama ni 200 watts basi ni kweli kabisa Tunapokea order ya kutengenezewa saketi yenye nguvu unayoitaka wewe. Inafungwa kwenye subwoofer na booster...
  19. Buda95

    INAUZWA Subwoofer za magari na bajaji zinapatikana hapa

    Subwoofer yenye Amplifier ndani -Inch 10' -Watts 1000 -Mdundo kama wote[emoji344][emoji344][emoji344] Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji Zinapatikana Bei 100,000/= Delivery ipo Ukihitaji kwa Waliopo Dar, Mikoani Tunatuma Pia WhatsApp & Calls 0714122948
  20. Afisa Mteule Drj 2

    Connection ya TV na subwoofer haifanyi kazi

    Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini connection hii haifanyi kazi. Lengo langu ni sauti kutoka kwenye TV isikike kwenye...
Back
Top Bottom