subwoofer

  1. T

    Naomba mwongozo wa kununua Subwoofer

    Nina uhitaji wa Subwoofer kwa matumizi binafsi (nyumbani). Kama mnavyojua siku hivi kuna kampuni nyingi au aina kedekede za kichina zinazotengeneza hizo bidhaa. Hivyo naomba mwongozo kwa wataalamu na wazoefu. Je, ninunue/nichukue ya kampuni gani,- ambayo ni imara na ina muziki wa ukweli...
  2. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Habari za kazi wakuu, Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
  3. Natafuta mtu anaeuza subwoofer

    I am in Dar es salaam naomba kama kuna mtu anauza subwoofer anitext 0753676663 whatsap au normal text.
  4. INAUZWA Bluetooth Mp3 player zinauzwa hapa, badili radio yako kuwa ya kusasa zaidi

    Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa. Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio zinapiga sana lakini kama ulinunua kitambo utakuwa unamiss flash na Bluetooth. Subwoofer za zamani zote...
  5. S

    Yamenikuta: Mzee Mwagito ameniwekea tego la kutokwa hedhi kila nikikutana na mwanaume

    Maka 5 iliyopita nikiwa nasoma mwaka wa pili kule Iringa nililetewa bahasha na kijana fulani (jina kapuni) aliyekuwa class mate wangu. Ndani ya bahasha kulikiwa na sh laki 3. Fedha hizi zilitoka kwa mzee Mwagito (siyo jina halisi). Nikataka kuzikataa, lkn shosti yangu mmoja akasema acha ujinga...
  6. Wataalam waliowahi kutumia home theatre system SONY WATT 300 wanipe ubora wake in performance au miyeyesho nakaribisha majibu

    Wakuu, msaada kwa ambae amewahi kutumia Sony home theater Watt 300 vipi ubora wake wa sound na performance machaguo yangu ni kama mnovoona kwenye picha nikamate sony au hilo subwoofer nakaribisha majibu.
  7. INAUZWA Subwoofer inauzwa bei nafuu

    Wakuu habari za saa hizi. Subwoofer hii inauzwa ipo katika hali nzuri tu imemaliza ni mwaka mmoja tu toka iliponunuliwa, ina Sound nzuri, Mdudo pia uko vizuri. Bei yake ni sh 160000 Tsh za kitanzania ila Maongezi yapo, nipo napatikana Mara wilaya ya Musoma mjini. Na Namba za simu ni No ya...
  8. Wajuzi mniambie hii kitu inahusika na nini kwenye subwoofer

    Bwana Awe nanyi, Awe pia nami Wakuu swali langu ni subwoofer kwa chini kuna sehemu za volume na chini kabisa kuna MIC 1 MIC 2 Sasa zina husika ni nini pale
  9. D

    TV LG 32", Meza na Subwoofer vyote 400,000 tu

    Nauza vitu tajwa hapo juu Bei 400,000 tu vyotee Nipo Dodoma Call/sms 0715140001
  10. INAUZWA Badilisha Old subwoofer au speaker isiyokua na Bluetooth na kuifanya kua Bluetooth party speaker kwa kutumia kifaa hiki hapa.

    Habari!! Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara. Napatikana Mbeya. Mikoani tunatuma ukihitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…