Balozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote
Mlale Unono 😀😀
PIA SOMA
- Tetesi: - Balozi wa Marekani kumtembelea Joseph Mbilinyi aka Sugu...
Kuna tetesi Kuwa Balozi wa Marekani nchini atamtembelea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu hospitalini alikolazwa
Ikumbukwe Kuwa Sugu na Balozi wa Marekani ni Marafiki wakubwa na juzikati Sugu Moto Chini alifanya show ya Muziki ubalozini akishirikiana na bendi ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.