suguye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maajabu ya vazi la Nabii Suguye Jumapili hii

    Mtumishi wa Mungu Prophet Nicolaus Suguye Jumapili hii tarehe 16/3/2025 kwenye UZINDUZI WA WIKI YA OPERATION YA KUVUNJA, KUBOMOA NA KUHARIBU MALANGO YA KUZIMU NDANI YA FAMILIA ambapo Nabii Suguye atawavisha Waumini VAZI lake lenye MAAJABU YA KINABII. “Biblia inasema kwenye Kitabu cha Mathayo...
  2. S

    Kiboko ya wachawi kafanyiwa zengwe. Kama serikali iko serious iwafungie Suguye, Dr. Sule, Mwamposa, mzee wa upako, n.k

    Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua. Suguye anakusanya kucha na nywele za...
  3. Kanisa la Nabii Suguye lafunguliwa, atuma ujumbe serikalini

    Kanisa la huduma ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya Pili limefunguliwa na kuendelea kutoa huduma baada ya kufungwa kwa miezi mwili. Dar es Salaam. Nabii wa Kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya pili jijini Dar es...
  4. Alichokisema nabii Bashando baada ya huduma WRM iliyo chini ya nabii Suguye kufungiwa

    Alichokisema Nabii #Bashando "Mimi ni miongoni mwa watu ambao sikuuelewa kabisa ufunuo wa nywele na kucha wa Nabii Suguye, na niliukosoa hadharani, ila pamoja na kutokuuelewa haunipi sababu ya kushangilia huduma ya WRM kufungwa. Hapa kuna jambo ambalo watu wengi hatuelewi. Ni kwamba kuna...
  5. Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

    Hellow Serikali imeingilia kati huduma za kiroho zitolewazo kanisa la WRM kivule maarufu kwa nabii Suguye mpaka sasa hawajatoa sababu maalumu ya kuzuia huduma hizo kusitishwa kwenye kanisa hilo. Kwa upande wangu kama walivyo chunguza hilo kanisa na kugundua mapungufu yaliyopo basi wafanye...
  6. Nabii Suguye akamatwe na ahojiwe Kwa kielelezo hiki!

    Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole huo ni zaidi ya uchawi na nisawa na kuhitaji viungo vya binadamu Kwa ajili ya maombi, nywele na...
  7. Suguye ni mchawi au ni Mtumishi wa Mungu?

  8. J

    Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

    Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia. Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa. Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na...
  9. S

    Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Katika mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka...
  10. Mwenye CV ya Chief Prophet Nicolaus Suguye naomba aiweke hapa

    Wakuu habari za asubuhi, Leo nikiwa nacheck kideo home Kuna Channel ya WRM tv nikaona ngoja nione huwa kuna vipindi gani humo, ndo nikamuona huyo sijui Mchungaji au sijui Nabii ama Mtumishi. Basi alikuwa anatoa maombi yani anaomba anasema kama unataka kuwa bilionea Basi nyoosha mikono juu...
  11. Ni kuhusu Nabii Suguye mmiliki wa WRM TV!

    Kuna mtu hapa anaabudu kanisani kwa huyu Nabii Suguye?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…