suit

  1. M

    Ni wapi wanauza Suti Dodoma?

    Nilikuwa naomba kujuwa sehemu gani kwa dodoma wanauza suit za special affordable price
  2. Sky Eclat

    Kijana wa miaka 16 aliamua kuvaa suit ya skirt siku ya prom

    Prom ni sherehe ya kumaliza mitihani ya NECTA. Nisiku ambayo vijana wanavaa mavazi wanayopenda na huwa wanapendeza sana. Kijana huyu pichani aliamua kuvaa suit ya skirt, kitendo hiki kiliwasikisha wengi. Dunia hii tunakoelekea tunahitaji maombi na kufunga kwa sala.
  3. MEGATRONE

    NAHITAJI TRACK SUIT PAIR 200

    Nahitaji track suit pair 200 Umri 3-5 pair 140 Umri 6-8 pair 60 Na form six tshirt ( rangi yellow/dark blue) kwa rika na idadi hiyo hiyo hapo juu Kwa biashara call me 0687391885
Back
Top Bottom