Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
Bashe anadaiwa kushiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha serikali mapato katika utoaji wake wa vibali vya kuingiza sukari nchini.
Pia, anatuhumiwa kutoa vibali vya tani 410,000 za sukari kinyume na mahitaji yaliyopo; kuyapa makampuni yasiyo na sifa ya kuingiza bidhaa hiyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.