Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema Serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari kwa bei nafuu na kulinda viwanda vya ndani kutokana na uwekezaji uliofanyika.
Serikali inavyosimama...