sukuma

The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.

View More On Wikipedia.org
  1. MIXOLOGIST

    Ni upi mustakabali wa SUKUMA GANG baada ya azimio la chama pendwa?

    Hili Genge lilitamba sana miaka ya nyuma na kutuaminisha kwamba lenyewe ndiyo lina hati milili ya uongozi wa nchi yetu Mambo yanaenda kasi sana, na tayari chama chetu pendwa kimekuja na azimio., azimio linalilosababisha vijana zaidi ya 1000 kutembea kutoka Dodoma hadi Dar-es Salaam kuliunga...
  2. R

    Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

    Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo . Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo . Ni hayo tu .
  3. D

    Sukuma gang tunasema hii ni laana ya Magufuli kwa mbowe baada ya kushangilia kifo chake.

    DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi... Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa. Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi taabani na dawa pekee ni wewe ubwage manyanga au uongoze chama maiti.
  4. D

    Tulisema mwamba amelamba asali, tukambiwa sukuma gang hatupendi maridhiano

    DJ sasa anaelekea kwa lipumba, hayati mrema na ndugu yao Odinga. Wanasiasa wa upinzani huwa hawaaminiki hasa africa bara la kiza.
  5. E

    Niligundua ni bora kuongozwa na Sukuma gang kuliko CHADEMA

    Misimamo ya Sukuma gang ipo wazi Demokrasia sio kipaumbele ni kazi tu CHADEMA hawana chochote wanachosimamia ,haijulikani wanapinga ufisadi au la
  6. Nehemia Kilave

    Mambo machache Sukuma Gang bado wanayahitaji yafanyiwe kazi

    Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama . 1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi 2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho...
  7. S

    Adhabu ya spika kwa Mpina ni mwendelezo wa watoto wa mjini kuwang'onyesha sukuma gang?

    Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina. Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
  8. Jaji Mfawidhi

    CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

    Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa Katibu Mkuu wa...
  9. GENTAMYCINE

    Haya tumeshamalizana na Chato Dhahabu Nyota FC, hivyo Jumamosi 'anakufa' kati ya Goli 4 hadi 6 pale Sukuma City

    Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu...
  10. R

    Kuna mtu bado anabisha uwepo wa SUKUMA GANG ndani ya CCM? Lissu kawafariji wamenyanyuka kwa shangwe

    Tanzania kuna watu wanateseka kisiasa ila wamejificha; Tanzania imegawanyika; Tanzania haiwezi kuponywa majereha ya watawala kwa madaraka wala miradi ya maendeleo tunahitaji haki, usawa na ukweli. Kauli ya Lissu kwamba JPM hakuwa mwizi kama wengine; kwamba hakuuza nchi kwa mikataba imetufanya...
  11. The Burning Spear

    Zile propaganda za Sukuma Gang ziliishia wapi?

    Wazee wanasema Ngoma ya watoto haikeshi. Hicho ndicho ninachoweza Kusema. Sisi tulipaza sana sauti kumwambia Samia unaelekea kwenye matope tukaishia kuitwa sukuma gang. Oooh mara Tukazikwe Naye Chato. Watu wazuri hawafi.ujinga Mtupu Kila aliyefungua kinywa na kumsonda kidole Samia aliitwa...
  12. S

    Kwa mwendo huu machawa wa Samia wataendelea kupeta

    Salama ya upinzani kuchukua dola ilikuwa mikononi mwa maridhiano ambayo yangepelekea uundwaji wa katiba mpya ambayo ingezaa tume huru ya uchaguzi. Na jambo hili lilikuwa pia linasubiriwa kwa hamu kubwa Sana na sukuma gang ili wajaribu kutupa karata yao kumuondoa Samia na kundi lake. (Ndiyo...
  13. S

    Tusipoangalia Sukuma Gang watafanikiwa sana

    Kwa namna mambo yalivyokuwa yanaenda sukuma gang walikuwa hawapumui kabisa na walikuwa wamebanwa kila kona. Maombi yao yalikuwa ni kuona Rais Samia anakosea ili wapate mlango wa kutokea. Mwanya umejitokeza kwenye hili sakata la DP World naona sukuma gang wanasukuma ajenda zao kwa kasi ya...
  14. R

    Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

    Habari, Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu. Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni...
  15. THE BIG SHOW

    Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

    Friends and Enemies, Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa. Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna...
  16. Superbug

    Tuache kutumia neno sukuma gang kwasababu ya aliyoyafanya Magufuli ambae hakuwa Msukuma

    Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
  17. Joannah

    Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

    Jamani kwema? Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku...
  18. R

    Sukuma Gang sio watu wa kupuuzwa, itafutwe namna ya kuifuta hii itikadi ili kuleta Umoja wa Kitaifa

    Habari JF, Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli. Aina ya...
  19. S

    Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

    Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG?? Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi? Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga...
  20. D

    Kwa Ripoti hii ya CAG, ni dhahiri Sukuma Gang imeshinda mapema mno!

    Katika mchezo wa siasa unahitaji kuwa na akili nyingi sana kushinda "game". Lakini akili ya kwanza ni kumsoma, kumfahamu, kumwelewa aliyeketi kwenye kiti cha "executive" anawaza nini, nini hulka yake, ana uwezo gani wa kuona masafa marefu na tabia yake ikoje na ana uwezo gani wa kuadhibu au...
Back
Top Bottom