Rais Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?
Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.
Wewe unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole...