Mufti wa Tanzania amemteua aliyekuwa RPC wa Dar es Salaam, Alhaji Suleiman Kova kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA.
Uteuzi huu umekuja kufuatia kujiuzulu ghafla kwa Mwenyekiti wa awali Sheikh Issa Othman, ambaye amefanya kazi hiyo kwa miezi mitatu tu, Sheikh Issa Othman ameachia...