Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari, zinaeleza kwamba Bwana Methew amekutwa na umauti huo kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Dar es salaam...