Mhe. Rais nimekushukuru kwa kumtumbua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Binadamu tunatakiwa tuwe na utu, upendo, mshikamano na weledi katika utendaji kazi za umma.
Mhusika aliyetumbuliwa ajifunze kwa matamshi yake na afahamu kuwa watu wa Mara ni waungwana, wapenda watu na siyo wanafiki. Karibu...