Tunalo Suluhisho la Kiasili na Uhakika:
Tunasaidia kurejesha afya ya mifupa na viungo kupitia virutubisho asilia vilivyothibitishwa ambavyo vinasaidia:
Kurejesha uteute (lubrication): Kwenye maungio ya mifupa ili kuzuia kusagana.
Kurutubisha na kuimarisha mifupa: Kupunguza maumivu na kuvimba...
Nimekuwa katika jamii ambayo unaambiwa ni kawaida mwanamke kupata maumivu anapokuwa katika hedhi, kuna baadhi ya wanawake wamekuwa wakipata maumivu makali wakati wakuingia hedhi na kutokwa na damu nyingi na hadi kupitiliza siku 7 je shida ni nini na suluhisho ni kuzaa mapema?