NENO LA MUNGU LINASEMA: "Kila mtu na aitii MAMLAKA iliyo KUU; kwa maana HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU; na ile iliyopo umeamriwa na MUNGU. Hivyo amwasiye mwenye MAMLAKA hushindana na AGIZO LA MUNGU; nao washindanao watajipatia hukumu. Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo...
Katika hatua madhubuti ya kurejesha nchi katika hali ya maelewano,usalama,na maendeleo endelevu kufuatia siasa za uhasama zilizorithiwa kutokana historia ya vyama vingi na mapungufu mbalimbali ndani ya vyama vya upinzani pamoja na serikali. Raisi Samia Suluhu Hassan ameamua kujenga nchi yenye...