suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyota yako imeibwa lakini ulitakiwa utembelee VX

    Huwa namkubali sana Daniel Mgogo. ********** “Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements. “Unarudisha nyota hewa...
  2. Kwanini namuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan?

    Kumekuwa na maneno maneno humu kuwa mimi na wenzangu tunaomuunga mkono Rais Samia basi kama sio Waislamu basi ni Wazanzibar na kama hauko kote huko basi wewe ni chawa wake. Hizi ni siasa za majitaka ambazo kusema kweli zimeegemea kwenye vihoja badala ya hoja. Kwa upande wangu Mimi Lord...
  3. Nani anaratibu haya kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?

    Rais ni mkuu wa Serikali na nchi. Rais ni nembo yetu; fahari yetu; kiongozi wetu na kiungo chetu. Lakini, Rais ni 'mwajiriwa wetu' nambari moja nchini. Ndiyo maana, akifanya vizuri tunamsifu na akifanya vibaya tunamkosoa na kumsema. Tunapaswa kujua anakoenda na anachoenda kufanya. Labda kama...
  4. Mbunge Nancy Nyalusi - Wanawake Tumuunge Mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    MBUNGE NANCY NYALUSI - WANAWAKE TUMUUNGE MKONO RAIS SAMIA MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi amewataka wanawake mkoani Iringa kuendelea kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake madhubuti na usimamizi wake mzuri wa rasilimali nchi ambao umesaidia kwa sehemu...
  5. Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
  6. RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
  7. Rais Samia bado yupo kwenye njia sahihi

    Bila kupepesa macho, huyu mama ni visionary leader, anajua anachofanya. Ukifuatilia deliverables zake you will be shocked. Facts and data zinaonesha amefanya mambo mengi kwa muda mfupi, pengine kuliko mtangulizi wake. Hakika, she is composed and focused. Anatuonesha kwa vitendo namna sahihi ya...
  8. M

    Rais Museveni aeleza jinsi NATO ilivyowapiga mkwara marais wa Africa wasiende Libya kutafuta suluhu kipindi cha vita ya Libya

    Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
  9. Mhe. Kwagilwa Nhamanilo - Mama Samia Suluhu Hassan Apewe Maua Yake

    MHE. KWAGILWA NHAMANILO ASEMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APEWE MAUA YAKE "Niendelee kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kwa uongozi wake bora na thabiti wenye mafanikio makubwa...
  10. SoC03 Chanzo cha malalamiko juu ya mfumo wa kodi, suluhu ni lipi ili kuhamasisha walipa kodi

    UTANGULIZI Kodi ni muhimu kwa kila mwananchi, kwa maana hutoweza kuiwajibisha serikali kama hulipi kodi. Pia ni muhimu kulipa kodi ili kupata huduma bora kama elimu, ulinzi, afya na miundombinu. Mbali na umuhimu wa kulipa kodi, Tanzania imekua ikikumbwa na malalamiko juu ya juu ya sheria tofauti...
  11. C

    Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  12. D

    The Great 7 of President Samia Suluhu Hassan are here!

    Neno "mama" linawalemaza na kuwaliwaza wengi. Kila mtu anaye mama yake. Hata Samia Suluhu Hassan anaye mama. Neno "mama" linatumika kulainisha watu kuacha kumkosoa Chifu Hangaya. Sasa niwadokeze tu. Usikiapo Samia akisema "Mimi ni mama". Usidhani na wewe ni mtoto wake. Watoto wa Samia ni Hawa...
  13. Pamoja na yote bado nakupongeza Rais Samia Suluhu, nchi bado ni tulivu.

    Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa, nchi ni shwari, kila mtu anasema anavyotaka, hakuna aliyepotezwa, hakuna aliyeng'olewa kucha. Hivi...
  14. U

    Tujikumbushe: Kikwete na uuzwaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) vs Rais Samia na kuuza Bandari zetu

    Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuuza Bandari zetu Kwa waarabu wa Dubai.. Mtindo na ushawishi uliotumika kuaminisha...
  15. Wilaya ya Ludewa Tunasema Asante Sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha...
  16. Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

    Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa. Niongeze volume? Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
  17. Rais Samia Suluhu apokea andiko la ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amepokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kutoka kwa Rais wa TFF Wallace Karia pamoja na Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei...
  18. T

    Rais Samia usipoangalia mambo mengi ktk Serikali yako kwa jicho la tatu njia itakuwa na miiba mingi sana...

    Mh Rais Samia Shikamoo. Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara. Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi...
  19. Ninampongeza Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama Anaupiga mwingi. Kila Hilo 20milion, Hawa wanao wametoka shule waangalie Usafiri wao.
  20. S

    Majaliwa amewaacha wafanyabiashara Kariakoo na matatizo yao bora angeenda Rais Samia Suluhu

    Nimefuatilia kikao cha waziri mkuu leo na wafanyabishara kuhusu mgogoro wa kariakoo nimesikitika sana. Licha ya kwenda na Mawaziri na Timu ya wataalamu wa Wizara mbalimbali ameshindwa kutatua matatizo ya wafanyabiashara wa Kariakoo. Amepata fursa ya kuwasikiliza wafanyabiashara siku nzima ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…