HISTORIA FUPI YA MSANII SUMA " G" A.K .A SILAHA MANENO KIPAJI HALISI KUTOKA USWAHILINI...
Kiukweli mimi kama "suma G" katika industry ya Muziki wa Bongo fleva wimbo wangu wa kwanza kunitambulisha kwenye ramani ya Muziki wa Bongo fleva, wimbo huo ulikuwa unajulikana kwa jina la " vidonge vyao"...