Jana kwenye mida ya Saa 21:30 hivi Usiku, nilikuwa Kituo cha Feri Ndani ya Daladala za Machinga Complex tukiwa na abiria wengine, tukisubiri gari lijae tuondoke.
Gari lilivyojaa, dereva alianza kuondoa gari Taratibu kuingia barabarani! Mara ghafla,akapanda huyu ASKARI wa SUMA JKT akiwa na pingu...