sumatra

  1. S

    Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  2. JET SALLI

    DOKEZO Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za usafiri hususani bajaji kutoka Tshs 600 hadi 800 mpaka elfu 1000

    Ndugu zangu tunapata taarifa nyingi toka kila pande ya nchi yetu pendwa ya Tanzania,Leo nimepata taarifa kuwa huko Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za usafiri hususani bajaji kutoka Tshs 600 hadi 800 mpaka elfu 1000 kwa baadhi ya maeneo,ilhali gharama za...
  3. Kaunara

    Sumatra: Makondakta na Madereva daladala Mbeya wanatoa lugha mbaya kwa abiria

    Kama kichwa cha habari kilivyo! Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu wanateseka barabarani. Wekeni hata sticker zenye namba zenu na haki ambazo abiria akivunjiwa...
  4. G

    Bodaboda ni wapiga kura wako; Rais Samia waondolee adha ya kunyanyaswa na SUMATRA

    Jana nimeshuhudia vurugu za kutisha mtaani wakati wa kilichodaiwa kuwa zoezi la kukamata pikipiki zinazodaiwa malipo ya SUMATRA. Hali ilikuwa ya kutisha baada ya bodaboda kuanza kurusha mawe ovyo na kuzua taharuki kwa wapita njia. Bodaboda kisheria wanatakiwa kulipa kodi hiyo kila mwaka kwa...
  5. ngara23

    Nawapongeza LATRA na SUMATRA kwa kuruhusu mabasi kusafiri saa 24

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asubuhi, aisee nilifurahi mno. Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za...
  6. Hakuna anayejali

    SUMATRA muwe mnawapa madereva na makondakta elimu ya huduma kwa wateja

    Madareva na makondakta wengi hawana customer care kwa abiria yani si unapoingia kwenye gari wal inapoharibika wanakaa kimya tu wakati wanatakiwa kumwambia abiria samahani gari imeharibika lakini tunafanya jitihada za matengenezo ili tuendelee na safari. Wao wanakaa kimya tu abiria ndiyo...
  7. Torra Siabba

    LATRA angalieni magari ya Usagara - Mwanza Mjini kwenda Kisesa

    Kwa muda sasa imezuka tabia ya baadhi ya madereva wanaoendesha magari yanayofanya ruti ya Usagara kwenda Kisesa, Buswelu, Kisesa, Buzuruga kupitia Mwanza Mjini kupandisha nauli kiholela tofauti na utaratibu unavyoongoza. Kikawaida nauli ya kutoka Usagara kufika Mwanza Mjini aidha unashukia...
  8. D

    SUMATRA Tanga, hili la Kichangani limekaaje?

    Daladala za Kichangani zinatoza nauli 1000 ilihali mlangoni pameandikwa 600 ,mwanafunzi anatozwa mia nne 400 ilihali mlangoni ni 200. Daladala zimeanzisha route ya kichangani mzimu hodi bila kibali mwanafunzi akipanda daladala kutoka mjini gari zikifika kichangani wanafunzi wanaambiwa waongeze...
  9. K

    Wamiliki wa mabasi wapandisha nauli kwa wanafunzi, SUMATRA na Polisi wabariki kadhia hii

    SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus. Wanafunzi wasio na fedha wamekwama stendi mikoani kwa kushindwa kupata huduma, mabus yanakata tiketi kwa bei...
  10. T

    SUMATRA idhibiti nauli ya usafiri barabara ya Makete, Wananchi tunaumizwa

    Barabara ya Makete nauli ipo juu sana SUMATRA mliangalie hili eneo la km 130 nauli 10000 siyo sawa. Kumbukeni hii barabara na ipo katika kiwango cha lami. Bado vituo vya mkoani ukipanda eneo la km 20 tu nauli ni 3000 sio haki kabisa wananchi wanaumia.
  11. Matope

    Traffic Police, SUMATRA na Magari ya Sauli hapa Kibaha, kulikoni?

    Wakuu, Kuna shida gani na haya mabasi kila mara ni kupigwa mkono weka pembeni nusu saa au lisaa lizima. Kama hamtaki wawe wanasafiri futeni vibali vya magari kama ndio hivyo, ni mambo yasio na maana. Mnachelewesha abiria wasio kuwa na kosa lolote. Asante
  12. TODAYS

    EWURA, SUMATRA na wamiliki wa vyombo vya Usafiri hii inawahusu

    Amani kwako. Maisha ni gurudumu ambalo lazima likanyage mzunguko wote ili kufikia hatua inayotakiwa. Mfanyabiashara yeyote hana undugu na mteja hii inatokana na mfumo wa biashara kama kuepuka hasara na mambo mengine. MADA: Bei ya mafuta imeshuka maradufu na ndani ya wiki tatu imeshuka tena...
  13. SankaraBoukaka

    Hivi Traffic Police wa Kongowe Mwisho na SUMATRA, mnafahamu uhuni wa daladala za Kigamboni - Mwandege au mnakula 10%?

    Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda.. Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
  14. M

    SUMATRA kuweni wabunifu kwenye ishu ya usafiri mijini kipindi hiki

    Nyakati ngumu huhitajika kuumiza kichwa mara nyingi zaidi kuliko kipindi cha raha mustarehe. Sasa hivi SUMATRA inataka vyombo vya usafiri viwe level seats lakini haitoi majibu ya mipango ya aina gani wanaweza kutumia usafiri wa mabasi hayahaya ya daladala yaliyopo nchini kuweza kuhudumia watu...
  15. C

    SUMATRA mnafeli wapi? Nauli Ubungo hazikamatiki

    Salaamu. Sumatra wakati huu wanafunzi wanarudi majumbani kwa dharura ilipaswa mkague usalama na nauli zinazotozwa. Msisahau bumu halijatoka kwa wengine wa vyuo vikuu. Pia wazazi ndo tumejikwamua ada kwa wanafunzi wa sekondari (January to March) inajulikana mifukoni peupe Hoja ni Magari...
  16. M

    SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

    Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
  17. Faana

    SUMATRA na Traffic Police

    Naomba kuwauliza swali, mnapoingia kwenye mabasi na kufanya ukaguzi huwa mpo serious au mnafanya maonyesho tu! Picha hii hapa ni ya moja ya viti vya bus la Nyehunge kutoka Mwanza - Morogoro Vngi ya viti vimenyofoka na mingi ya mikanda ya usalama nayo ni kama inavyoonekana
  18. R

    Nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha imebadilika bila kutangazwa na SUMATRA

    Tangia mwezi Desemba nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha ilipanda kutoka 20,000 hadi 25,000. Mabadiliko haya hayakutangazwa na SUMATRA. Miaka miwili iliyopita nauli ya kutoka Loliondo mto wa mbu kwa bus ilikuwa 17,500 ikaja kubadilika kimya kimya ikawa 20,000 na sasa ni 25,000. Naomba...
  19. Things Fall Apart

    SUMATRA kero hii hamuioni?

    Habari wana jamvi, SUMATRA ni chombo kinachohusika kusimamia viwango katika huduma ya usafiri wa nchi kavu na majini. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kila nikipanda daladala au mabasi ya mikoani mara unakuta nafasi kati ya siti moja hadi nyingine (mbele na nyuma) inakuwa imebanwa sana kiasi kwamba...
  20. B

    Hivi na hili SUMATRA inalijua? Tuisaidie, pengine meno yataota

    1.Mabasi yanajaza kupita uwezo,ushahidi Upo, ni juzi tu nimesafiri kuelekea mbeya kwa basi mojawapo,wanaweka ndoo kibao. Traffic wanapewa chao mambo yanaenda kama kawaida 2. Kuna gari aina ya noa, zimebadilishwa na kuwa za abiria. Kiuhalisia ile gari ina capacity ya watu 8 ila inabeba 10...
Back
Top Bottom