Ninaandika barua hii nikibubujikwa na Machozi Mimi kama Mzazi lakini nasitika kuona vyombo vya Dola ikiwemo ofisi ya mkurugenzi, wilaya Moshi vijijini, Mkuu wa Wilaya kutotimiza wajibu wao ipasavyo kuhakikisha Vitendo vya ukatili kwa watoto hasa wa kike na kiume havikomeshwi mkoani Kilimanjaro...