SHINYANGA: Manka Mushi mwenye miaka 26 mkazi wa Ikoma, Kata ya Itilima wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa na Jeshi la Jadi Sungusungu kwa tuhuma za wizi wa Tsh 420,000.
Akizungumza na Azam News katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga alipolazwa akipatiwa...