sunnah

  1. BARDIZBAH

    Naomba Fatawa za Maulamaa kutoka katika kitabu na Sunnah katika hili.

    Asalaam alykum. Ndugu waislamu mliofanikiwa kupata Darsa mbali mbali , naomba Fatawa katika hili , kutoka katika kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia. Hii habari ni kwamba figo ya nguruwe iliyopandikizwa katika mwili wa mtu huyo inafanya kazi. Wabillah Taufiq
  2. BAKIIF Islamic

    Unaelewa nini kuhusu waislamu wanapotamka neno 'Sunnah'?

    Katika Uislamu kuna elimu inaitwa Hadithi inarejelea kile ambacho Waislamu wengi tunaamini kuwa ni rekodi ya maneno, vitendo, na idhini ya kimya ya nabii wa Kiislamu Muhammad s.a.w kama inavyopitishwa kupitia misururu ya wasimulizi. Kwa maneno mengine, Hadith ni riwaya kuhusu yale aliyosema na...
Back
Top Bottom