Supatech: Sumit Shah ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Dukaan, kupitia ukurasa wake wa Twitter aliufahamisha umma ya kwamba amefanya mabadiliko makubwa kwenye idara ya huduma kwa wateja ndani ya kampuni hiyo.
Dukaan ni kampuni kutokea nchi India ambayo inajihusisha na mauzo mtandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.