Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ?
Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league.
Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni
Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst.
Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika...
We should all calm down and support Simba . Watuwakilishe vyema .
Super league ni Kama trial . Bonanza la famous African teams . Na 5 billions ni winners money.
A senior FIFA official confirmed to me in private statements that it had been agreed that the prizes for the first edition of the...
Ni vile tu kukaza roho na kuondoa aibu but kiuhalisia simba alikuwa anatamaniwa na kila timu iliyokuwepo kwenye hii michuano, na kwa bahati mbaya kaangukia mdomoni mwa wababe wa misri!
Kiufupi ni kwamba mwendo mmeumaliza mechi ya kwanza tu out! Itakuwa ni asante kwa kushiriki, labda walale...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) limetangaza rasmi tarehe za kuanza kwa mashindano mpira wa miguu maarufu kama African Super League.
Mashindano hayo yataanza tarehe 20 Octoba na kumalizika tarehe 11 November,2023 na sasa mashindano hayo yataitwa African Football League na kushirikisha...
Dar es Salaam. Tarehe 20 Agosti 2023: Katika kuhamasisha mazoezi ya kujenga mwili na kuimarisha afya, Benki ya CRDB imezindua mashidano ya Super League kwa timu zinazoundwa na wafanyakazi wake.
Michuano hiyo inayofanyika kwa mwaka wa tatu sasa, itashirikisha timu za mpira wa miguu na mpira wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.