super power

A superpower is a state with a dominant position characterized by its extensive ability to exert influence or project power on a global scale. This is done through the combined means of economic, military, technological, political and cultural strength as well as diplomatic and soft power influence. Traditionally, superpowers are preeminent among the great powers.
The term was first applied in 1944 during World War II to the United States, Britain, and the Soviet Union. During the Cold War, the British Empire dissolved, leaving the United States and the Soviet Union to dominate world affairs. At the end of the Cold War and the dissolution of the Soviet Union in 1991, only the United States appeared to be a superpower.

View More On Wikipedia.org
  1. Sasa ni dhahiri, super power ni moja tu hapa duniani

    Israel bila Marekani, si kitu huko Mashariki ya Kati. Taiwan bila Marekani, si kitu mbele ya China. Korea Kusini bila Marekani, si kitu mbele ya Kim Jong Un. Na Ukraine bila msaada wa Marekani, si kitu mbele ya Urusi ya Putin. Jana Rais Trump kachomoa misaada ya kijeshi ya Marekani kwenda...
  2. Kwanini Ethiopia haijawa Super Power ya Afrika?

    Mwalimu wa Historia alitumbua kuwa chanzo kimojawapo cha udumavu wa bara la Afrika kimaendeleo ni ukoloni wa Kimagharibi! Lakini pia alitufundisha kuwa Ethiopia haikutawaliwa na Wazungu. Labda ndiyo maana Waafrika walipachagua pawe makao makuu ya AU? Lakini nilisahau kumwuliza kuwa ikiwa...
  3. Kurudi kwa Israel pale Palestina ni mpango wa Mungu

    Najua wengi watabisha tu kutokana na ushabiki wao juu ya imani fulani Ila mimi ninasema ninachokiamini According to the bible Kurudi kwa israel ni mpango wa Mungu Na hakuna wakuzuia sio mrusi,mchina,mkorea, au nani mpango unabii ukamilike Kumbukumbu la Torati 30:3-5 [3]ndipo BWANA, Mungu wako...
  4. Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
  5. D

    Kwa bara la Afrika Tanzania ni super power na mzaliwa wa kwanza kwa haki

    Niko katika kazi ya kuipeleka Tanzania kwenye new season in spiritual point of view leo tutaangalia jinsi gani Tanzania ni super power tuaangalia historical perspective na natura perspective Kipindi cha utawala wa nyerere tuliona Tanzania ikijitoa kusaidia nchi nyingi za Afrika kuondokana na...
  6. Ikitokea China amekuwa super power

    Ikitokea China amekuwa super power, hali ya Dunia itakuweje? Je tutanyanyasika duniani? Demokrasia, Uhuru itakuweje. Nchi za kiAfrica Mambo yatakuweje? Toa maoni yako
  7. Biden: Urusi haitashinda Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine. Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa. Rais Biden akionekana wazi...
  8. Urusi ni super power ya mdomoni, jana nilitaka kusafiri nikakumbana na haya ndani ya ndege za Urusi

    Naongea nachokiishi siyo nachosimuliwa, kabla mrusi wa buza hujaanza kunibishia shiba sana kwanza vitumbua kwa mama willy hapo Tandale, nakusisitiza kabisa ichaji techno ya shangazi yako unayotumia kwa kujiiba ku comment JF, nasisitiza hakikisha una pitia notice ulizokalili kuhusu uchumi kwa...
  9. N

    Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

    Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda. Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka...
  10. China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  11. Hivi wenzangu huyu ‘Super Power’ Urusi mnamwelewa?

    Super pawa la Kibisa. linapelekeshwa Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu. Wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua. Walitegemea Ukraine itaweka nguvu zote pale Donbass na kuacha sehemu kubwa ya Ukraine au kyiv haina Ulinzi wa kutosha. Mayokeo yake...
  12. K

    China is the upcoming super power

    China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani. Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38. Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje? Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…